Habari

Tumieni nishati safi ya kupikia kulinda mazingira kwa vizazi vijavyo 

Watanzania wameendelea kuhamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kulinda mazingira kwa vizazi vijavyo. Wito huo umetolewa leo Julai 03, 2025 na Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Lucas Malunde wakati wa hafla ya ugawaji wa mitungi ya gesi ya Kilogramu 15 pamoja na majiko ya sahani mbili kwa Watumishi 557 wa Jeshi la […]

Tumieni nishati safi ya kupikia kulinda mazingira kwa vizazi vijavyo  Read More »

REA yaja na mpango kuwezesha ujenzi vituo vya mafuta vijijini

·       Mkopo wa hadi Shilingi Milioni 133 kwa riba ya 5%-7% kutolewa ·       Marejesho ni ndani ya Miaka 7 ·       Lengo ni kuhakikisha bidhaa za mafuta zinapatikana kwa gharama nafuu ·       Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mpango wa kuwezesha ujenzi na uendeshaji wa vituo vipya vidogo vya gharama nafuu vya bidhaa za

REA yaja na mpango kuwezesha ujenzi vituo vya mafuta vijijini Read More »

Mmiliki wa mgodi Mwanamke aongoza mageuzi ya uchimbaji wa Shaba Mpwapwa

Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya Matonya na Kinusi. Doreen ameonesha uongozi bora

Mmiliki wa mgodi Mwanamke aongoza mageuzi ya uchimbaji wa Shaba Mpwapwa Read More »

Wataalam SADC wakutana Zimbabwe kujadili Sekta ya Nishati na Maji

📌 Miundombinu ya usafirishaji umeme kikanda kujadiliwa 📌 Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele 📌 Mkakati mahsusi wa kuongeza watumiaji wa umeme Afrika (M300) kuwa moja ya Ajenda 📌 Maendeleo ya Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi pamoja na umeme vijijini kujadiliwa Wataalam wa Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zake  leo wameshiriki katika Mkutano

Wataalam SADC wakutana Zimbabwe kujadili Sekta ya Nishati na Maji Read More »

Kanuni 10 Zisizoandikwa Zinazofwata na Madereva wa Bolt Waliofanikiwa

Tanzania, Dar es Salaam, 30 Juni 2024 – Kampuni ya usafiri wa mtandaoni, Bolt, inaendelea kuongoza kwa kushikilia asilimia 70 ya soko la huduma za usafiri nchini. Mafanikio haya yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na uwezo wake wa kuoanisha usalama, bei nafuu, na teknolojia bunifu inayokidhi mahitaji ya usafiri kwa tabaka mbalimbali za watumiaji. Katika mahojiano

Kanuni 10 Zisizoandikwa Zinazofwata na Madereva wa Bolt Waliofanikiwa Read More »

FUNGUO yatangaza fursa ufadhili wa zaidi ya Sh.bil 2.5 kwa Wajasiriamali wa Tanzania na biashara endelevu kwa mazingira

Mradi wa Ubunifu wa FUNGUO, ambao ni mradi wa kimkakati unaofadhiliwa kwa pamoja na Umoja wa Ulaya (EU), Jamhuri ya Finland, na Serikali ya Uingereza (FCDO), na kutekelezwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania), umetangaza rasmi uzinduzi wa fursa mbili muhimu za ufadhili zenye lengo la kuibua uwezo wa wajasiriamali wa

FUNGUO yatangaza fursa ufadhili wa zaidi ya Sh.bil 2.5 kwa Wajasiriamali wa Tanzania na biashara endelevu kwa mazingira Read More »

NACTVET yatoa darasa kwa Maafisa Udahili na Mitihani Vyuo Vikuu

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limeandaa semina maalum kwa Maafisa Udahili na Mitihani kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ubora wa elimu na usimamizi madhubuti wa taratibu, kanuni, sheria na miongozo inayosimamia udahili na mitihani kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada.

NACTVET yatoa darasa kwa Maafisa Udahili na Mitihani Vyuo Vikuu Read More »

Amref Tanzania yaungana na wadau mapambano dhidi ya dawa za kulevya Dodoma

Dodoma, Juni 27, 2025 – Amref Health Africa – Tanzania, kupitia ufadhili wa Serikali ya Marekani chini ya mpango wa PEPFAR kupitia Kituo cha Serikali ya Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC Tanzania), imeungana na Serikali ya Tanzania na wadau mbalimbali katika kuadhimisha kilele cha Siku ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya,

Amref Tanzania yaungana na wadau mapambano dhidi ya dawa za kulevya Dodoma Read More »

Suluhisho za kisasa za SICPA zinaongeza imani ya wateja na uadilifu wa soko

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Zanzibar (ZBS), limepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa 72 na Vikao vya Baraza la Shirika la Kanda la Viwango Afrika (ARSO), visiwani Zanzibar vilivyoanza Juni 23 hadi 28 mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Alfred Mapunda, Mkurugenzi Mkuu wa SICPA Tanzania, imesema kuwa

Suluhisho za kisasa za SICPA zinaongeza imani ya wateja na uadilifu wa soko Read More »