Habari

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi kwa watumishi

– Atembelea Banda la Tume ya Madini Katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Dodoma, Juni 23, 2025 Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Nsajigwa Kabigi, wametembelea banda la Tume ya Madini katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayohitimishwa leo katika viwanja vya

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi kwa watumishi Read More »

Kongamano fursa za ajira CBE laibua fursa kwa wanafunzi

Wizara ya Viwanda na Biashara imeweka mkakati wa kuhakikisha kuwa taasisi za elimu zinatoa mafunzo yanayozalisha wahitimu wenye uwezo wa kuzalisha ajira kwa wengine badala ya kusubiri kuajiriwa. Kauli hiyo aliitoa Naibu Waziri wa wizara hiyo, Exaud Kigahe mwishoni mwa wiki wakati wa kongamano la kuimarisha fursa za ajira na maendeleo endelevu ya Tanzania kaulimbiu

Kongamano fursa za ajira CBE laibua fursa kwa wanafunzi Read More »

Kongamano la 13 MUHAS: Mifumo ya afya, teknolojia na mustakabali wa afya

Watafiti katika sekta ya afya wamefanikiwa kuwasilisha tafiti zaidi ya 200 katika Kongamano la 13 la Kisayansi la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), tafiti ambazo zimeelekezwa katika kusaidia jamii katika nyanja mbalimbali zikiwemo matumizi ya dawa, mifumo ya afya, afya ya akili pamoja na matumizi ya teknolojia. Akizungumza Juni 19, 2025

Kongamano la 13 MUHAS: Mifumo ya afya, teknolojia na mustakabali wa afya Read More »

Waendelezaji miradi ya nishati jadidifu watakiwa kuchangamkia fursa za uwezeshwaji kutoka REA

📌Ni kwa miradi inayozalisha chini ya Megawati 10 Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu ametoa wito kwa waendelezaji wa miradi ya nishati jadidifu kote nchini kuchangamkia fursa za uwezeshwaji zinazotolewa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili kuwa na miradi yenye tija kwa Taifa. Ametoa wito

Waendelezaji miradi ya nishati jadidifu watakiwa kuchangamkia fursa za uwezeshwaji kutoka REA Read More »

Verified by MonsterInsights