Habari

Waendelezaji miradi ya nishati jadidifu watakiwa kuchangamkia fursa za uwezeshwaji kutoka REA

📌Ni kwa miradi inayozalisha chini ya Megawati 10 Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu ametoa wito kwa waendelezaji wa miradi ya nishati jadidifu kote nchini kuchangamkia fursa za uwezeshwaji zinazotolewa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili kuwa na miradi yenye tija kwa Taifa. Ametoa wito […]

Waendelezaji miradi ya nishati jadidifu watakiwa kuchangamkia fursa za uwezeshwaji kutoka REA Read More »

 Balozi Kingu ahimiza ulinzi na usalama mradi wa umeme Lupali Njombe

·       Waishukuru REA kwa uwezeshaji wa zaidi ya shilingi bilioni 4.3 ·       Utekelezwaji wake wafikia 97.5% Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu ameelekeza waendelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme wa kilowati 317 kwa kutumia maporomoko ya Mto Lupali kuimarisha ulinzi na usalama wa mradi

 Balozi Kingu ahimiza ulinzi na usalama mradi wa umeme Lupali Njombe Read More »

Jukwaa la nne ushirikishwaji wa Watanzania Sekta ya Madini lilete mabadiliko – Ollal

Wadau wa madini nchini wametakiwa kutumia Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta la Madini kama kichocheo cha mabadiliko katika Sekta ya Madini hasa kwenye eneo la ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini  katika eneo la ajira na utoaji wa huduma kwenye migodi ya madini kama vile  usambazaji wa vifaa

Jukwaa la nne ushirikishwaji wa Watanzania Sekta ya Madini lilete mabadiliko – Ollal Read More »

Ridhiwani Kikwete: Nidhamu na maadili kazini ni msingi wa mfanisi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, amewataka waajiri na waajiriwa kuhakikisha wanazingatia nidhamu, maadili na utawala bora katika maeneo ya kazi ili kuweka uwiano mzuri kati ya wafanyakazi na viongozi wao. Amesema nidhamu kazini, maadili na utumishi uliotukuka ni mambo ya msingi ambayo viongozi na wakuu

Ridhiwani Kikwete: Nidhamu na maadili kazini ni msingi wa mfanisi Read More »

EWURA yazitaka taasisi kuweka mikataba ya huduma mtandaoni

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Dk. James Andilile, amesema taasisi zote zinazodhibitiwa na mamlaka hiyo za huduma za maji, umeme, gesi asilia na mafuta, zinatakiwa kuweka mikataba ya huduma kwa wateja kwenye tovuti zao rasmi ili kuongeza uwazi, ufuatiliaji na uwajibikaji. Dk. Andilile akizungumza kwenye maadhimisho ya Wiki ya

EWURA yazitaka taasisi kuweka mikataba ya huduma mtandaoni Read More »

Waziri Simbachawene avutiwa na huduma za NMB Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Dodoma, Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene, ametembelea banda la Benki ya NMB katika ufunguzi rasmi wa maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika Jijini Dodoma. Katika ziara hiyo, Mhe. Simbachawene alipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Biashara ya Serikali wa

Waziri Simbachawene avutiwa na huduma za NMB Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Read More »

Waziri Mavunde ataka Watanzania kupewa kipaumbele kusambaza bidhaa na huduma migodini

▪️Aelekeza mabadiliko ya Kanuni ili kuruhusu uhaulishwaji teknolojia kwa Kampuni za Kigeni ▪️Ataka Watanzania kuchangamkia Trilioni 5.3 za usambazaji bidhaa na utoaji huduma ▪️Rais Samia apongezwa kwa uongozi wa maono ▪️Watanzania 19,371 wanufaika na ajira rasmi ▪️Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara kwa ukuaji wa sekta Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Tume ya Madini kuwapa

Waziri Mavunde ataka Watanzania kupewa kipaumbele kusambaza bidhaa na huduma migodini Read More »

CBE yaandaa kongamano kuwakwamua vijana na tatizo la ajira

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeandaa kongamano la kuimarisha fursa za ajira na maendeleo endelevu linalolenga kuwawezesha vijana kujiajiri. Hayo yamesemwa  jijini Dar es salaam na Mkuu wa chuo hicho, Prof Edda Lwoga, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kongamano hilo litakalofanyika Alhamisi chuoni hapo.  Amesema mgeni rasmi katika Kongamano hilo anatarajiwa kuwa

CBE yaandaa kongamano kuwakwamua vijana na tatizo la ajira Read More »

Rekodi za mapato, gawio la wanahisa NMB vyatikisa Kongamano la Uwekezaji Z’bar

Benki ya NMB imewahakikishia wawekezaji wadogo, wa kati na wakubwa walioshiriki Kongamano la Uwekezaji Zanzibar lililoratibiwa na Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA), kuwa iko imara kifedha kuwawezesha kushiriki Mapinduzi ya Kiuchumi visiwani humo na Tanzania kwa ujumla. Uthibitisho wa uimara wa NMB ni kuingia kwa benki hiyo katika Klabu ya Kampuni Zenye Thamani ya zaidi

Rekodi za mapato, gawio la wanahisa NMB vyatikisa Kongamano la Uwekezaji Z’bar Read More »

Verified by MonsterInsights