Habari

NMB yadhamini na kushiriki Kilele cha Maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Singida

Benki ya NMB imedhihirisha tena nafasi yake kama Mwajiri Kinara nchini kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa mkoani Singida. Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na maelfu ya wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali nchini, yakiwemo mashirika ya umma na binafsi, taasisi na vyama vya wafanyakazi, yakilenga kuenzi mchango wa

NMB yadhamini na kushiriki Kilele cha Maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Singida Read More »

Rais Samia aongeza mishahara wa Wafanyakazi kwa asilimia 35.1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Rais Dkt. Samia amesema kuwa Nyongeza hii itaanza kutumika Mwezi Julai 2025, itaongeza kima cha chini cha mshahara kutoka shilingi 370,000 hadi shilingi 500,000. Akizungumza Katika Kilele

Rais Samia aongeza mishahara wa Wafanyakazi kwa asilimia 35.1 Read More »

Serikali kutambulisha leseni mpya maalum ya uzalishaji chumvi

▪️📌Waziri Mavunde aelekeza mchakato wa mabadiliko ya sheria kuanza. ▪️📌Aelekeza kanuni kubadilishwa kupunguza tozo kwa hekta kufikia 20,000. ▪️📌Wazalishaji Chumvi wampongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa ujenzi wa kiwanda cha Chumvi Mkoani Lindi ▪️📌Serikali kuwezesha wazalishaji chumvi kumiliki viwanda vya kuchakata chumvi Dodoma Serikali ipo mbioni kutambulisha Leseni mpya ya uzalishaji wa chumvi ili

Serikali kutambulisha leseni mpya maalum ya uzalishaji chumvi Read More »

REA yawezesha Magereza yote Tanzania Bara kuanza kutumia Nishati Safi ya kupikia

📌 Matumizi ya kuni yawa historia Jeshi la Magereza Tanzania Bara limepongezwa kwa kufanikiwa kuanza kutumia mifumo ya nishati safi ya kupikia katika magereza zake zote nchini. Pongezi hizo zimetolewa leo Aprili 30, 2025 Jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali (mstaafu), Jacob Kingu wakati wa ziara yake pamoja

REA yawezesha Magereza yote Tanzania Bara kuanza kutumia Nishati Safi ya kupikia Read More »

Verified by MonsterInsights