IPRT, Msajili Hazina Zanzibar wasaini makubaliano uratibu wa tuzo za umahiri wa mawasiliano Zanzibar
Taasisi ya Uhusiano wa Umma Tanzania (IPRT) imesaini makubaliano na Msajili wa Hazina Zanzibar kwa ajili ya uratibu wa pamoja katika kuandaa tuzo za umahiri katika mawasiliano ya umma Zanzibar yaani ‘Zanzibar Communication Excellence Awards (ZCEA)’ zinazotarajiwa kufanyika Julai 5 mwaka huu visiwani humo. Hafla ya utiaji saini makubaliano hayo imefanyika mapema leo jijini Dar […]