Friday, November 7, 2025
spot_img
HomeHabariRais Samia akabidhiwa Tuzo maalumu Mkutano wa 39 wa ALAT

Rais Samia akabidhiwa Tuzo maalumu Mkutano wa 39 wa ALAT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalumu ya kuthamini na kutambua kazi kubwa anayoifanya kwa Taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) uliofanyika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma leo Machi 11, 2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments