Habari

Rais Samia atoa maagizo Wizara ya Nishati,usafirishaji mafuta 

📌 Lengo ni kuyafanya makampuni ya usambazaji mafuta upande wa Kaskazini kutumia Bandari ya Tanga. 📌 Asema Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. 📌Kapinga asema Tanga ni Mkoa muhimu katika sekta ya nishati nchini. 📌Uwekezaji  huo unaunga mkono na kuchochea matumizi ya  nishati safi ya kupikia. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. […]

Rais Samia atoa maagizo Wizara ya Nishati,usafirishaji mafuta  Read More »

Wanawake TANAPA wazindua maadhimisho Siku ya Wanawake kwa kutembelea Hifadhi ya Ziwa Manyara

KUELEKEA kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo yatafanyika Machi 8 mwaka huu mkoani Arusha na kuongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan wanawake zaidi ya 150 wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Kanda ya Kaskazini, wamezindua wiki ya maadhimisho hayo, kwa kutembelea leo vivutio vya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara. Wanawake

Wanawake TANAPA wazindua maadhimisho Siku ya Wanawake kwa kutembelea Hifadhi ya Ziwa Manyara Read More »

Hivi ndivyo Wizara ya Nishati inavyotoa fursa kwa wanawake

Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini Wizara ya Nishati, Anita Ishengoma amesema katika utekelezaji wa majukumu ya kisekta Wizara ya Nishati imetoa fursa za usawa kwa wanawake. Ishengoma ameyasema hayo katika kuelekea kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa kila tarehe 8 Machi ambapo nchini itaadhimishwa kitaifa mkoani Arusha. “Usawa hapa wizarani unazingatiwa kutokana

Hivi ndivyo Wizara ya Nishati inavyotoa fursa kwa wanawake Read More »

The Diplomats yajipanga kuleta mapinduzi usimamizi matukio binafsi, kiserikali

Tanzania imeandika historia mpya baada ya jana kuzinduliwa kwa kampuni ya The Diplomats, ambayo inalenga kutoa huduma za kitaalamu katika usimamizi wa matukio ya binafsi na ya kiserikali kwa kuzingatia viwango vya kimataifa vya protocol logistics. Katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Anthony William, alieleza kuwa The Diplomats

The Diplomats yajipanga kuleta mapinduzi usimamizi matukio binafsi, kiserikali Read More »

Rais Samia akiwasili Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwa mkutano wa hadhara

TANGA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan, amewasili leo Februari 28, 2025, katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, ambapo maelfu ya wananchi wamefurika kumpokea na kushiriki katika mkutano wa hadhara. Ziara hii ya kikazi inalenga kusikiliza kero za wananchi, kuzindua miradi ya maendeleo, na kuzungumzia agenda muhimu za taifa. Wananchi wa Tanga

Rais Samia akiwasili Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwa mkutano wa hadhara Read More »

Rais Samia apiga picha na Mwanafunzi aliyeruhusiwa kukalia kiti chake Muheza

Rais @samia_suluhu_hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwanafunzi wa shule ya sekondari Magila ya Muheza Ester George Barua ambaye alimruhusu akalie kiti chake cha Rais katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa CCM Jitegemee wilayani Muheza mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025. Rais Dk. Samia alifurahishwa na Mwanafunzi huyo aliyekuwa akielezea mafaniko ya

Rais Samia apiga picha na Mwanafunzi aliyeruhusiwa kukalia kiti chake Muheza Read More »

Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Maji Mpanda yachota maarifa MUWSA

Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Menejimenti ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira katika Manispaa ya Mpanda wamefanya ziara mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, kwa lengo la kujifunza mbinu bora za uendeshaji wa mamlaka za maji. Katika ziara hiyo, takribani watumishi 15 walitembelea Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) kujionea

Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Maji Mpanda yachota maarifa MUWSA Read More »

Verified by MonsterInsights