Sunday, November 9, 2025
spot_img
HomeHabariRais Samia apiga picha na Mwanafunzi aliyeruhusiwa kukalia kiti chake Muheza

Rais Samia apiga picha na Mwanafunzi aliyeruhusiwa kukalia kiti chake Muheza

Rais @samia_suluhu_hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwanafunzi wa shule ya sekondari Magila ya Muheza Ester George Barua ambaye alimruhusu akalie kiti chake cha Rais katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa CCM Jitegemee wilayani Muheza mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.

Rais Dk. Samia alifurahishwa na Mwanafunzi huyo aliyekuwa akielezea mafaniko ya Serikali ya Awamu ya Sita kwa Lugha ya ya Kingereza.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments