Habari

Serikali yarahisisha huduma ya kubadilisha fedha za kigeni

Serikali imesema imerekebisha Kanuni za Maduka ya Kubadilisha Fedha za Kigeni za Mwaka 2019 na kutoa kanuni mpya za mwaka 2023, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kubadilisha fedha za kigeni nchini. Hayo yamelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Chumbuni, Ussi Salum Pondeza,

Serikali yarahisisha huduma ya kubadilisha fedha za kigeni Read More »

Benki ya NMB yahudhuria Mkutano wa Kamisheni ya huduma za Jamii ya Kikristo

Uwakilishi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Ruth Zaipuna umehudhuria Mkutano wa Kamisheni ya Huduma za Kijamii ya Kikristo (CSSC), mkutano unaoangazia masuala ya elimu na afya. Mkutano huu unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili. Benki ya NMB imekuwa na ushirikiano mzuri na Kamisheni hii ambapo baadhi ya mashule na

Benki ya NMB yahudhuria Mkutano wa Kamisheni ya huduma za Jamii ya Kikristo Read More »

Rais Mwinyi amuapisha Kamishna ZRA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Kamishna Mkuu Mpya wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Said Kiondo Athumani aliyemteuwa hivi Karibuni. Hafla hiyo imefanyika Ikulu  Zanzibar na Kuhudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla,Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Watendaji

Rais Mwinyi amuapisha Kamishna ZRA Read More »

RC Babu awaonya wananchi wa Kilimanjaro dhidi ya matumizi mabaya ya fedha

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Nurdin Babu amewaasa wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro kuacha matumizi mabaya ya fedha, huku wengine wakiwa na mitambo ya kuiibia Serikali na wananchi. RC Babu ametoa maagizo hayo wakati wa kikao na Waandishi wa Habari na Timu ya Wataalamu ya utoaji wa Elimu ya Fedha, katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

RC Babu awaonya wananchi wa Kilimanjaro dhidi ya matumizi mabaya ya fedha Read More »

TANESCO, EWURA imeweka mwongozo gharama za kuunganisha umeme- Kapinga

📌 Asema Serikali imeweka ruzuku kwenye miradi ya umeme Vijijini Naibu Waziri wa Nishati,Judith Kapinga amesema,Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeweka mwongozo wa gharama za kuunganisha umeme kwa wateja, ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo. Kapinga ameyasema hayo leo Februari

TANESCO, EWURA imeweka mwongozo gharama za kuunganisha umeme- Kapinga Read More »

Wenye Viwanda wakaa na Waziri kutatua kero ya tozo ya Sh 150,000 kupakia kontena 

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Seleman Jafo amesema ndani ya siku 60 Wizara yake itakuwa imepata ufumbuzi wa malalamiko ya wawekezaju kuhusu tozo ya shilingi 150,000 wanayotozwa kwaajili ya kushusha na kupakia kontena. Alitoa ahadi hiyo jana mara baada ya mkutano baina yake na wanachama wa Shirikisho la Wenye Viwanda (CTI), ambao wamekuwa wakilalamikia kutozwa

Wenye Viwanda wakaa na Waziri kutatua kero ya tozo ya Sh 150,000 kupakia kontena  Read More »

RUWASA Kilimanjaro yapongezwa kwa upatikanaji wa maji kwa asilimia 84.5

Mwenyekiti kamati ya Miradi na Ufundi ya Bodi ya Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Ngwisa Mpembe ameipongeza Menejimenti ya RUWASA kwa kufanikisha utekelezaji wa miradi ambayo  imewezesha mkoa wa Kilimanjari kufikia upatikanaji wa huduma ya maji kwa asilimia 84.5. Amesema hatua hiyo inaifanya RUWASA kuwa na tumaini la kufika katika

RUWASA Kilimanjaro yapongezwa kwa upatikanaji wa maji kwa asilimia 84.5 Read More »

Verified by MonsterInsights