Habari

Dk. Nchimbi: CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party (PP), Chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake. Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri kati ya Tanzania na Ethiopia umebebwa kwenye misingi imara

Dk. Nchimbi: CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia Read More »

Rais Samia ameithibitishia Afrika kuwa uongozi siyo jinsia ni uwezo wa mtu

“Naomba kutumia nafasi hii kuieleza dunia juu ya umahiri mkubwa alionao Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa katika masuala ya diplomasia, maana haikuwa jambo rahisi kushawishi dunia kuamini kuwa Tanzania inaweza kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa Nishati wa Afrika. Hili ni jambo kubwa lakini inaonesha pia Rais wetu ameweka historia kuwa kiongozi mpambanaji na

Rais Samia ameithibitishia Afrika kuwa uongozi siyo jinsia ni uwezo wa mtu Read More »

Shamsi Vuai Nahodha asema Rais Samia ni kinara wa mageuzi Afrika

“Ninampongeza kwa dhati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ndoto zake za kuwakutanisha viongozi wenzake wapatao 21 kutokana maeneo mbalimbali ya bara la Afrika, ili kuzungumzia mustakabali wa nishati hasa katika maeneo ya vijijini kusini mwa Jangwa la Sahara. Nchi yetu kwa miaka mingi sana imekuwa ikitegemewa kutoa muongozo wa masuala ya kisiasa,

Shamsi Vuai Nahodha asema Rais Samia ni kinara wa mageuzi Afrika Read More »

Mradi wa Maji Safi wa WaterAid watatua changamoto za maji na usafi Hanang’

Wananchi wa wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara, wanatarajia kunufaika na mradi wa maji utakaowapatia huduma ya maji safi kwa asilimia 100, huku wakiondokana na magonjwa ambukizi yanayotokana na uchafu wa mazingira na vyanzo vya maji. Mradi huu unatekelezwa na shirika la WaterAid la Uingereza kwa kushirikiana na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini

Mradi wa Maji Safi wa WaterAid watatua changamoto za maji na usafi Hanang’ Read More »

Dk. Biteko aongoza waombolezaji kuaga miili ya wanafunzi waliofariki kwa radi Geita

📌 Rais Samia atuma salamu za pole, agharamia misiba na mazishi 📌 Mkuu wa Wilaya Bukombe aishukuru Idara ya Afya kwa juhudi za maokozi 📌 Viongozi wa dini wahimiza uvumilivu na uhimilivu kipindi cha majonzi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Jana Januari 30, 2025 mkoani Geita, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza

Dk. Biteko aongoza waombolezaji kuaga miili ya wanafunzi waliofariki kwa radi Geita Read More »

Verified by MonsterInsights