Arusha Jiji wazindua mitambo maalum, kukarabati barabara za mitaa yote 154
Na Getrude Mpezya.ARUSHA Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Maxmillian Iranqhe amezindua mitambo maalum ya kukarabati Barabara za mitaa 154 na malori mawili mapya. Wakati wa uzinduzi huo,Iranqhe mbele ya Wananchi wa Jiji la Arusha ameelekeza Kila Kata kukabidhiwa shilingi Milioni 4, kwaajili ya manunuzi ya vifusi vya kujengea barabara hizo, ikiwa ni fedha baki […]
Arusha Jiji wazindua mitambo maalum, kukarabati barabara za mitaa yote 154 Read More »