Sunday, November 9, 2025
spot_img
HomeHabariRais Samia na viongozi wa Mkutano wa Nishati wa Afrika - Misheni...

Rais Samia na viongozi wa Mkutano wa Nishati wa Afrika – Misheni 300

Dar es Salaam, Tanzania – Januari 28, 2025:

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika – Misheni 300. Tukio hilo limefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam leo.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments