Habari

Waziri wa SMZ atembelea banda la PSSSF Nanenane Zanzibar

Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shaib Kaduara ametembelea banda la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwenye Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Dole Kizimbani, Zanzibar na kuelezwa namna ambayo sasa wanachama wanapata huduma za Mfuko zote kupitia simu janja. Akitoa maelezo kwa Kaduara, […]

Waziri wa SMZ atembelea banda la PSSSF Nanenane Zanzibar Read More »

REA yaendelea kutekeleza kwa vitendo mkakati wa Taifa wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia

📌 Rais Samia apongezwa kampeni ya nishati safi ya kupikia 📌 Watumishi 702 wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Pwani wapatiwa majiko ya gesi  📌 Waahidi kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia Watumishi wa Jeshi la Magereza wameipongeza na kuishukuru Serikali kwa kuwapatia majiko ya gesi ya Kilogramu 15 pamoja na majiko ya sahani

REA yaendelea kutekeleza kwa vitendo mkakati wa Taifa wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Read More »

Enock Koola aandika historia Jimbo la Vunjo, ambwaga Dk. Kimei

Mfanyabiashara na mkandarasi kijana, Enock Zadock Koola, ashinda kwa kishindo kura za maoni Jimbo la Vunjo, kwa kupata kura 1999 Kati ya 4080. Koola amewabwaga wenzie watano (5) wakiongozwa na mbunge anayemaliza muda wake Dk. Charles Kimei aliyepata kura 861 na kushika nafasi ya pili. Hatimae sauti za wanavunjo zimesikika!Ushindi huu unaashiria mwanzo wa zama

Enock Koola aandika historia Jimbo la Vunjo, ambwaga Dk. Kimei Read More »

Wananchi  wakaribishwa banda la Wizara ya Nishati Nanenane Dodoma

Wizara ya Nishati imeendelea kukaribisha wananchi kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (NANENANE) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Fredrick Marwa, Mjiolojia kutoka Wizara ya Nishati. Fredrick Marwa, Mjiolojia kutoka Wizara ya Nishati amesema katika maonesho hayo Wizara inaeleza kuhusu kazi mbalimbal zinaoendelea kufanyika ikiwemo za utafutaji na

Wananchi  wakaribishwa banda la Wizara ya Nishati Nanenane Dodoma Read More »

Waziri Chana ahimiza Watanzania kutembelea Maonesho ya Nanenane 2025

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi  Chana amewahimiza Watanzania kutumia fursa ya maonesho ya wakulima, wafugaji na wavuvi Nanenane 2025 ili kujifunza mbinu mbalimbali za uzalishaji wa mazao kwa maslahi mapana ya jamii na taifa kwa ujumla. Waziri Chana amesema hayo leo 4 Agosti, 2025 kwenye viwanja vya  Nanenane  Nzuguni jijini Dodoma ambapo

Waziri Chana ahimiza Watanzania kutembelea Maonesho ya Nanenane 2025 Read More »

Mkutano wa 45 wa Wakuu wa nchi wa SADC waanza Madagascar

Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa Kikanda 2030 (Regional Indicative Strategic Development Plan 2030-RISDP). zania inashiriki kikao hicho muhimu kwa maendeleo

Mkutano wa 45 wa Wakuu wa nchi wa SADC waanza Madagascar Read More »

REA yapongezwa kwa kutoa mikopo nafuu ya ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta vijijini

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umepongezwa kwa utekelezaji wa Mradi wa Mkopo Nafuu wa Ujenzi wa Vituo Vidogo vya Bidhaa za Mafuta (Petroli na Dizeli) Vijijini ambapo utekelezaji wake umetajwa kuwa kichocheo cha maendeleo ya Watu wa vijijini. Akitoa pongezi hizo; Katibu Tawala wa wilaya ya Ikungi, Rashid Rashid ambaye ametembelea banda wa REA leo,

REA yapongezwa kwa kutoa mikopo nafuu ya ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta vijijini Read More »