Friday, November 14, 2025
spot_img
HomeHabariEnock Koola aandika historia Jimbo la Vunjo, ambwaga Dk. Kimei

Enock Koola aandika historia Jimbo la Vunjo, ambwaga Dk. Kimei

Mfanyabiashara na mkandarasi kijana, Enock Zadock Koola, ashinda kwa kishindo kura za maoni Jimbo la Vunjo, kwa kupata kura 1999 Kati ya 4080.

Koola amewabwaga wenzie watano (5) wakiongozwa na mbunge anayemaliza muda wake Dk. Charles Kimei aliyepata kura 861 na kushika nafasi ya pili.

Hatimae sauti za wanavunjo zimesikika!Ushindi huu unaashiria mwanzo wa zama mpya za maendeleo kwa wana Vunjo. Hakika, historia imeandikwa kwa kishindo!

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments