Heshima za Mwisho: Mwili wa Dk. Ndugulile wawasili Karimjee

Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika marehemu Dk.Faustine Ndugulile ulipowasili Viwanja Karimjee leo Desemba 02, 2024.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *