Jaji Warioba: Serikali ya awamu ya sita imethubutu kupunguza changamoto za kisiasa

“Haya matatizo tuliyo nayo, kwa viwango vikubwa, yalitokana na awamu ya tano. Rais Samia alipoingia, alirithi yale matatizo. Lakini alikuwa na uthubutu wa kufanya maabdiliko. Yeye ndiye aliyeanzisha yale mazungumzo kati ya CCM na vyama vingine ili tufikie muafaka, mpaka akaleta 4R. Haikuwa kazi rahisi, lakini akaweza kukubaliana na ushauri,”Waziri Mkuu mstaafu Jaji Sinde Warioba.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *