“Nilimuuliza kiongozi mmoja wa upinzani. Je, kweli mnategemea nini? Akaniambia walikuwa wamefanya utafiti. Matokeo yake tuliyoonyeshwa tukijitahidi sana upinzani kwenye uchaguzi wowote unaokuja hatutazidi asilimia 25. Wakijua kwamba wao kwa wakati huu hawana uwezo wa kuweza kutoa ushindani mkubwa,”Waziri Mkuu mstaafu Jaji Sinde Warioba.