Katibu Mkuu Ado ajiandikisha Tunduru

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amejiandikisha kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kijiji cha Ngalinje, Kata ya Mchangani Wilayani Tunduru.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *