Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipozungumza na Umati wa Wananchi wa Kigoma Mjini waliofurika Uwanja wa Katosho wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Septemba 14, 2025.















