KMKM yapania kuvunja rekodi Kombe la Shirikisho

KMKM inaendelea na maandalizi ya kukutana na Asport ya Djibouti kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Kocha Mkuu, Âme Msimu, amesema wanafanyia kazi taarifa za wapinzani ili kuongeza mbinu za ushindi.

Anasema malengo yao ni kuvuka hatua ya awali na kuondoa rekodi ya kutolewa mapema, huku akipongeza wachezaji wapya kwa kuongeza nguvu kikosini.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *