Mabondia wajazwa pesa KnockoutyaMAMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, pamoja na viongozi mbalimbali na mashabiki wa ndondi wakifuatilia mapambano yanayoendelea muda huu kwenye ukumbi wa City Centra Hall Magomeni Jijini Dar Es Salaam.

Usiku wa KNOCKOUT YA MAMA utawakutanisha mabondia kutoka nchi za Ghana, Uganda, South African, Tanzania na Angola wanatarajia kuchuana katika usiku huu

Bondia wa Tanzania Said Mohamed anatarajia kucheza Pambano la IBA Intercontinental dhidi ya mpinzania wake Lusanda Komanisa wa africa kusini

Huku Ibrahim Mustafa atacheza pambano la WBC Africa dhidi ya Ecoch Tettey wa Ghana

#KnockoutyaMAMA

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *