Friday, March 6, 2026
spot_img
HomeHabariMaelfu wajitokeza uzinduzi Kampeni za Rais Samia, Kawe

Maelfu wajitokeza uzinduzi Kampeni za Rais Samia, Kawe

Maelfu ya wanachama, wafuasi na mashabiki wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa katika shamrashamra za uzinduzi wa kampeni za mgombea wa Urais wa chama hicho, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, zinazofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi, Agosti 28, 2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments