BONDIA Mtanzania Abbada Cadabra dakika ya 2:22 anampasua mpinzani wake Bondia Latibu Muwonge kutoka Uganda na kuondoka na ubingwa wa Super light kwenye pambano la Raundi nane lililopigwa usiku wa kuamkia leo Desemba 27,2024 kwenye Ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar Es Salaam.

Huu ni usiku wa #KnockoutYaMama ambayo bado inaendelea hapa Super Dome Masaki.
KnockoutYaMama
