Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipozungumza na Umati wa Wananchi wa Karatu Mkoani Arusha waliofurika kwenye Kampeni Za uchaguzi Mkuu leo Octoba 03, 2025.








