Wednesday, December 10, 2025
spot_img
HomeHabariMatukio katika picha Dk. Samia na wananchi Moshi Mjini

Matukio katika picha Dk. Samia na wananchi Moshi Mjini

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipozungumza na Umati wa Wananchi wa Moshi Mjini waliofurika kwenye Uwanja wa Mashujaa Mkoani Kilimanjaro wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Oktoba 01, 2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments