Matukio tofauti Rais Samia Mkutano Mkuu CCM leo

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti ya Picha aliposhiriki Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa wa mwaka 2025 uliofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete JKCC Mkoani Dodoma leo Machi 29, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *