Wednesday, March 4, 2026
spot_img
HomeMichezoMaximo: Sina kikosi cha kwanza, nina timu

Maximo: Sina kikosi cha kwanza, nina timu

Kocha wa KMC, Marcio Maximo, amesema hana kikosi cha kwanza bali ana timu yenye wachezaji wa ushindani.

Kauli hiyo aliitoa baada ya kikosi chake kumaliza hatua ya makundi ya Kombe la Kagame bila kupoteza mechi na kufuzu nusu fainali.

KMC ilitoka sare ya 1-1 na APR, mabingwa watetezi, huku Eric Mwijage akifunga bao la kusawazisha.

Maximo alisema mabadiliko ya wachezaji sita yaliyofanywa hayakuathiri kiwango, na anaamini kikosi chake kitakuwa tishio Ligi Kuu msimu ujao.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments