Mfaume Mfaume: Nitampiga Mmalawi Dar Boxing Derby

Bondia Mfaume Mfaume amesema yuko tayari kwa pambano dhidi ya Kudakwache Banda kutoka Malawi litakalofanyika Julai 26 kwenye viwanja vya Leaders, Dar es Salaam.

Mfaume alisema licha ya mpinzani wake kuwa wa kimataifa, ana imani kubwa ya kushinda kutokana na maandalizi yake.

Amepongeza serikali kuruhusu kurushwa kwa ngumi kupitia Azam TV na kuwasihi vijana kujiingiza katika mchezo huo kwa kuwa ni chanzo cha ajira.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *