Michezo

Prisons yaanza mchakato wa kocha mpya, Bares na Odhiambo wamo

Klabu ya Prisons ipo katika mchakato wa kumpata kocha mpya kwa msimu ujao, ambapo majina ya Mohamed Abdallah ‘Bares’, Ahmad Ally, na Mkenya Patrick Odhiambo yanatajwa. Kocha wa sasa, Amani Josiah, huenda akaachwa licha ya kuiokoa timu hiyo kupitia mechi ya mchujo dhidi ya Fountain Gate. Mtendaji Mkuu wa klabu, John Matei, amesema klabu imeunda […]

Prisons yaanza mchakato wa kocha mpya, Bares na Odhiambo wamo Read More »

Singida yaachana na Adebayor, Diomande achukua nafasi

Singida Black Stars imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Idrissa Diomande kutoka Zoman FC ya Ivory Coast, kuchukua nafasi ya Victorien Adebayor, ambaye ameondoka baada ya msimu mmoja. Kocha Miguel Gamondi amependekeza mabadiliko hayo kuelekea msimu mpya ambapo Singida itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika. Mbali na Adebayor, wachezaji wengine walionyeshwa mlango wa kutokea ni Emmanuel Lobota

Singida yaachana na Adebayor, Diomande achukua nafasi Read More »

Chalamanda ajiunga na JKT kuchukua mikoba ya Yacoub

Klabu ya JKT Tanzania imemsajili rasmi kipa wa zamani wa Kagera Sugar, Ramadhani Chalamanda, kuchukua nafasi ya Yacoub Suleiman, ambaye anatajwa kuhamia Simba SC. Chalamanda, aliyesaini mkataba wa miaka miwili, amesifiwa kwa uwezo wake licha ya timu yake kushuka daraja. Anatajwa kuwa miongoni mwa makipa waliookoa michomo mingi na penalti katika msimu uliopita. “Tulizingatia uwezo

Chalamanda ajiunga na JKT kuchukua mikoba ya Yacoub Read More »

Waogeleaji Tanzania kuelekea Singapore kushiriki mashindano ya Dunia

Waogeleaji wa Tanzania, Collins Saliboko na Michael Joseph, wanatarajiwa kuondoka nchini Julai 24 kuelekea Singapore kushiriki mashindano ya Dunia yatakayofanyika kuanzia Julai 27 hadi Agosti 3. Mkurugenzi wa Mashindano wa Chama cha Kuogelea Tanzania (TSA), Amina Mfaume, amesema maandalizi yanaendelea vizuri na wachezaji hao wako kambini Afrika Kusini kwa maandalizi ya mwisho. “Wanafanya mazoezi ya

Waogeleaji Tanzania kuelekea Singapore kushiriki mashindano ya Dunia Read More »