Michezo

Timu ya Tenisi ya Walemavu yaandaa mikakati ya kufuzu Kombe la Dunia

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya tenisi kwa walemavu, Riziki Salum, ametangaza kuwa maandalizi ya mashindano ya kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia yameanza rasmi. Mashindano hayo ya kufuzu kwa mataifa ya Afrika yatafanyika Februari 2-25 mwakani nchini Morocco. Salum amesema timu hiyo inalenga kuunda kikosi imara kupitia mashindano ya maandalizi

Timu ya Tenisi ya Walemavu yaandaa mikakati ya kufuzu Kombe la Dunia Read More »

Punguzo maalum la usajili Kilimanjaro International Marathon linakaribia kumalizika

Wakati siku za tukio la mbio za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon kwa mwaka wa 2025, zikikaribia washiriki wamekumbushwa kuwa muda wa punguzo la bei kwa ajili ya usajili huo unakaribia kumalizika. Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa hafla hiyo ambayo imekuwa maarufu Barani Afrika, imesema kuwa muda wa punguzo la hilo unatarajiwa kumalizika ifikapo

Punguzo maalum la usajili Kilimanjaro International Marathon linakaribia kumalizika Read More »