Michezo

Kaseke, Mpole waaga rasmi Pamba Jiji

Klabu ya Pamba Jiji imetangaza kuachana na wachezaji wanne, akiwemo Deus Kaseke aliyejiunga dirisha dogo na kusaidia timu kusalia Ligi Kuu. Hii inafuatia kuachwa kwa mshambuliaji George Mpole, aliyekuwa mfungaji bora wa msimu wa 2021/22. Wengine walioachwa ni Mwaita Gereza, Paul Kumtewe na Ally Ramadhani ‘Oviedo’. Hii ni baada ya kutangazwa kwa kocha mpya, Francis

Kaseke, Mpole waaga rasmi Pamba Jiji Read More »