Himid Mao afurahia kurejea Azam FC
Kiungo mkabaji Himid Mao ameonyesha furaha kubwa kurejea Azam FC baada ya miaka saba tangu aondoke kwenda kucheza Misri. Himid alionekana kwenye mazoezi ya timu hiyo kwa mara ya kwanza tangu 2018, akisema amefurahi kukutana tena na sura alizozizoea. Azam pia imemrejesha kipa Aishi Manula baada ya miaka nane Simba. Himid amesema timu iko chini […]
Himid Mao afurahia kurejea Azam FC Read More »