Saturday, November 8, 2025
spot_img
HomeMichezoKocha wa zamani Olympic Lyon aingia Yanga

Kocha wa zamani Olympic Lyon aingia Yanga

Yanga SC imemtangaza Manu Rodriguez, aliyewahi kufundisha Olympic Lyon na timu za taifa za Venezuela na Costa Rica, kuwa kocha msaidizi wa Romain Folz.

Pia imemleta kocha wa utimamu wa mwili Tshephang Mokaila (Afrika Kusini/Botswana), aliyekuwa Al Ahli Tripoli ya Libya.

Rodriguez anachukua nafasi ya Abdulhamid Moalin huku Mokaila akibeba mikoba ya Taibi Lagrouni.
Yanga pia imeongeza mkataba wa miaka miwili kwa mshambuliaji wa DR Congo Maxi Nzengeli, aliyepachika mabao 6 na kutoa asisti 10 msimu uliopita.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments