Sowah atua Simba kwa mkataba wa miaka miwili
Simba SC imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah raia wa Ghana, kwa mkataba wa miaka miwili. Dili hilo lilikamilika juzi usiku kwa kusainiwa kwa njia ya kielektroniki nchini Ghana, huku ada ya usajili ikifichwa. Sowah anatajwa kuwa mchezaji wa pili kwa mshahara mkubwa ndani ya Simba, nyuma ya Steven Mukwala. Kocha […]
Sowah atua Simba kwa mkataba wa miaka miwili Read More »