Mke wa Mgombea mwenza wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi Mama Jane Nchimbi akimuombea kura Dk. Samia, wabunge Tanga, leo Jumatatu Septemba 15, 2025 katika Uwanja wa Mazoezi Mjini Korogwe, Tanga.
Mama Jane Nchimbi ni mwenyeji wa Korogwe alipata fursa hiyo wakati Dk Nchimbi alipokuwa akiendelea na ziara ya kusaka kura mkoani humo.




