Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Ester Mahawe amefariki dunia leo Januari 14, 2024 wakati akipatiwa matibabu kwenye hospitali ya KCMC mkoani Kilimanjaro.

Kupitia mitandao ya kijamii , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ameandika ujumbe ufuatao:
Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
Amina.