“Sisi kama serikali tunapata fursa leo ya kuonyesha kwa wenye duka. Maana yake CCM ndio wenye duka. Tunakuja kuonyesha kwamba imani tuliyopewa sisi kama serikali kutekeleza mambo moja, mbili, tatu tumeyatekeleza. Ni fursa nzuri kwa wana CCM, wanachama, wapenzi na wakereketwa, kuwaonyesha Watanzania kwamba tuliahidi miaka mitano iliyopita ni kwa kiasio gani tumetekeleza,”Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthon Mtaka.