Wednesday, December 17, 2025
spot_img
HomeHabariMwili wa Hayati Ndugai ukiwasili Bungeni kwa heshima za mwisho

Mwili wa Hayati Ndugai ukiwasili Bungeni kwa heshima za mwisho

Mwili wa Hayati Spika Mstaafu wa Bunge na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai, umewasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo Agosti 10, 2025.

Mwili huo umefika Bungeni kwa ajili ya viongozi wa kitaifa, familia, wabunge, na wananchi kutoa heshima zao za mwisho. Baada ya zoezi hilo, mwili wa Hayati Ndugai utaelekea nyumbani kwake Kongwa, Jijini Dodoma, kwa mazishi.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments