Thursday, April 2, 2026
spot_img
HomeHabariNchimbi akutana na Papa Leo XIV

Nchimbi akutana na Papa Leo XIV

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi jana amekutana na kusalimiana na kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo  XIV baada ya kumalizika kwa ibada ya Hija katika Viwanja vya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, Vatican.



RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments