Tuesday, March 3, 2026
spot_img
HomeHabariNitakuja na fyekeo kwa watumishi wazembe, wala rushwa

Nitakuja na fyekeo kwa watumishi wazembe, wala rushwa

Waziri Mkuu mteule, Dkt Mwigulu Nchemba amewatahadhirisha watumishi wa umma wazembe, wavivu, wasio na lugha nzuri kwa wananchi, wala rushwa, akisema anakwenda na fyekeo kuwakabili.

Msimamo huo unalenga kile alichoeleza, lazima maono na ahadi za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Watanzania zitekelezwe.

Waziri Mkuu huyo mteule, ametoa ahadi hiyo, leo Alhamisi Novemba 13, 2025 bungeni jijini Dodoma, muda mchache baada ya kuthibitishwa na Bunge.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments