Thursday, March 5, 2026
spot_img
HomeMichezoNkane awasha moto Yanga

Nkane awasha moto Yanga

Winga Denis Nkane amefunga mabao mawili na kuipa Yanga ushindi wa 2-1 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.

Nkane ameonesha nia ya kutafuta namba ya kudumu msimu huu chini ya kocha mpya, Romain Folz.

Mabao yake yalitokana na pasi za mchezaji mpya kutoka Ivory Coast na Maxi Nzengeli.

Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, alisema ushindi huo umewapa matumaini ya kupata matokeo mazuri kwenye uwanja huo ambao ulikuwa mgumu kwao misimu iliyopita.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments