Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti alipowaandalia futari watoto yatima na wenye mahitaji maalumu kutoka vituo mbalimbali, hafla iliyofanyika Ikulu ya Dar es salaam leo Machi 03, 2025.