Monday, March 9, 2026
spot_img
HomeHabariRais Dkt. Samia aagiza kufanyika uchunguzi wa majengo Kariakoo

Rais Dkt. Samia aagiza kufanyika uchunguzi wa majengo Kariakoo

“Jitihada zetu kubwa katika tukio hili zilikuwa kuokoa wenzetu walionaswa ndani ya jengo hili wakiwa hai ndio lengo kubwa. Lakini kama tunavyoambiwa jitihada haiondoshi kudra za Mungu. Pamoja na jitihada zilizofanywa na serikali na waokoaji hawa waliopo hapa na wengine lakini bado kuna wenzetu ambao tumewapoteza.

Na taarifa niliyopewa leo kwamba mpaka saa tatu asubuhi tumepoteza wenzetu 20 ambao serikali kushirikiana na familia kuwastiri wenzetu ipasavyo. Hili sio pigo kwa familia tu, ni pigo letu kama Watanzania,”Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments