Rais Samia akutana na Mtendaji Mkuu wa MCC, Alice Albright, Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation (MCC) Alice Albright ambapo mazungumzo hayo yalijikita katika kukuza na kuimarisha mahusiano baina ya pande mbili hizo, leo tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, lowa nchini Marekani.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *