“Naomba kutumia nafasi hii kuieleza dunia juu ya umahiri mkubwa alionao Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa katika masuala ya diplomasia, maana haikuwa jambo rahisi kushawishi dunia kuamini kuwa Tanzania inaweza kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa Nishati wa Afrika.

Hili ni jambo kubwa lakini inaonesha pia Rais wetu ameweka historia kuwa kiongozi mpambanaji na mahiri, “Juliana Shonza Mbunge wa Viti Maalumu CCM.