Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Leo Machi 07, 2026.







