Rais Samia ashiriki uzinduzi harambee kuchangia fedha za kampeni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki hafla ya CCM Gala Dinner 2025 ikiwa ni Uzinduzi wa Harambee ya Kitaifa ya kuchangia Fedha za Kampeni katika Uchaguzi Mkuu,Ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam leo Agosti 12, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *