Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofauti tofauti alipotunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi wakati wa Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi Kuu Mkoani Morogoro leo November 24, 2024.













