Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria Uzinduzi wa wa Kiwanda Cha Majaribio Cha Uchenjuaji wa Madini ya Urani (Uranium) Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma leo Julai 30, 2025.