Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha alipozindua Jengo la Maabara ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma ikiwa ni sehemu ya Sherehe za Sikukuu ya nanenane leo Agasti 08, 2025.










